Kukimbia Mbio Zako Ili Ushinde 2
Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Release Date: 02/20/2023
Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Mungu anataka kuja katika maisha yetu kufanya jambo la kupita kiasi na kusawazisha tulipo tamaa.
info_outlineKufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Joyce anafundisha juu ya umuhimu wa kusherehekea mema katika maisha yetu, sio kuishi katika maombolezo ya shida zetu.
info_outlineKufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Kadiri tunavyojua Neno la Mungu, ndivyo tutakavyohisi kuwa karibu Naye na ndivyo tutakavyokuwa wazi zaidi kwa mapenzi yake maishani mwetu.
info_outlineKufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Tunapoanza kujifikiria jinsi Mungu anavyotuwazia, hatuwezi kujizuia kupenda kile ambacho ameumba ndani yetu.
info_outlineKufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Ikiwa umechoka kuhangaika na woga, gundua ukweli mmoja ambao unaweza kuwa umekosa katika maisha yako.
info_outlineKufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Isipokuwa ukiamua kuishi kwa ujasiri, hutawahi kuona utimilifu wa hatima ya Mungu kwa maisha yako.
info_outlineKufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Gundua ni kiasi gani Mungu anakupenda ili uweze kuishi bila woga wa kufanya makosa.
info_outlineKufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Leo, Joyce anafundisha jinsi kutumia wakati katika Neno la Mungu kutaimarisha “mfumo wa mizizi” yetu.
info_outlineKufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Tukibaki na mizizi ndani ya Kristo, tutaendelea kuzaa tunda la Roho.
info_outlineKufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Je, maumivu katika siku zako za nyuma yamekuwa sehemu ya utambulisho wako? Jifunze jinsi unavyoweza kuanza upya baada ya kupitia uchungu.
info_outlineMbinu ya adui ni kujaribu kuharibu maendeleo yetu ya kiroho. Leo, Joyce anafundisha baadhi ya vikengeusha-fikira vinavyoweza kutuzuia.